Makahaba Wanaswa Katika Danguro
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
5.3M subscribers
2,572,876 views
2.6K

 Published On Sep 21, 2014

Maafisa wa polisi wamewakamata wanawake 13 kwa kujihusisha na biashara ya ukahaba katika jumba mmoja katika eneo la Adams kwenye barabara ya Ngong kaunti ya Nairobi. Operesheni hiyo iliyoongozwa na maafisa wa polisi wa utawala kutoka Riruta baada ya maafisa hao kupata habari kutoka kwa wanainchi

show more

Share/Embed