"Sufuria ya maji ya ugali ilinimwagikia nikiwa mtoto, niliungua mwili mzima”
BBC News Swahili BBC News Swahili
626K subscribers
13,326 views
186

 Published On Premiered Apr 9, 2023

Ikiwa Wakristo duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Pasaka, mwimbaji wa nyimbo za kusifu na kuabudu wa nchini Tanzania Ipyana Kibona anahimiza Wakristro kuwa na moyo wa kushukuru kwa Mungu akitoa mfano wa shuhuda zake alizopitia ikiwa ni pamoja na kukatiwa tamaa baada ya kuungua mwili mzima.

Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda amekutana na Ipyana ambaye kitaaluma ni daktari na kuelezea safari yake, familia Pamoja na changamoto alizopitia.

#bbcswahili #tanzania #muzikiwagospel

show more

Share/Embed