Tenzi za Rohoni No 125 - Ati Twonane Mtoni?
PianoPio PianoPio
23.8K subscribers
699 views
0

 Published On Apr 11, 2023

Lyrics: Ati twonane Mtoni?

Naam, twonane mtoni!
Watakatifu, kwenu ni mtoni!
Tutakutanika mtoni
Penye kiti cha Mungu

1. Ati twonane mtoni?
Maji mazuri ya Mbingu;
Yanatokea mwangani,
Penye kiti cha Mungu.

2.Tukitembea mtoni
Na Yesu mchunga wetu
Daima tu ibadani
Usoni pake kwetu.

3.Kwang’ara sana mtoni
Cha Mwokozi ni kioo,
Milele hatuachani,
Tumsifu kwa nyimbo.

4.Karibu tutawasili,
Mara huwa furahani
Na amani ya kweli.

Tenzi za rohoni, Wimbo wa tenzi, hymn songs
Tenzi za Rohoni No 125 - Ati Twonane Mtoni?

show more

Share/Embed